ukitoka buguruni sokoni unaenda kko. baada ya soko kuna flat(ghorofa), halafu kuna barabara inaingia kulia kwako; ukiingia nyumba ipo karibu na barabara, kimsingi ni eneo zuri kwa kujenga nyumba nyingine ya biashara, iliyopo imechoka, kama mjuavyo nyumba za wenyeji wetu hapo zilivyo.