House4Sale Nyumba inauzwa milioni 25 tu!

House4Sale Nyumba inauzwa milioni 25 tu!

mwaps

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
157
Reaction score
127
Nyumba ipo Mbagala kwa Mbiku, ina frem 2 kwa mbele, vyumba 3 vya kulala, sebule, dining, jiko. Nyumba ya pembeni(Wavulana) vyumba 2. Bei ni 25m tu. Tuwasiliane kwa namba hii 0677089280.
IMG-20220912-WA0009.jpg
IMG-20220912-WA0011.jpg
IMG-20220912-WA0012.jpg
 
Usitoe tangazo la kuuzwa asset Kama unapiga mnada wa nyanya mbichi sokoni
 
Bei ni 250mil au 25mil. Maana Bei ya 25mil ni fair Sana kwa specifications za hiyo nyumba.
 
Nyumba inauzwa maeneo yapi?

Ina ukubwa gani?

Ipo karibu na huduma zipi za msingi kijamii kama maji, umeme na usafiri?

Bei inazungumzika au ndiyo hiyo hiyo kama bidhaa ya supermarket?

Ndicho anachomaanisha huyo Jamaa.
If interested,kuna namba hapo kwa maelezo zaidi.
 
[mention]Intelligent businessman [/mention] nyumba hii inakufaa nunua
 
Back
Top Bottom