tokenring
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 317
- 612
Nyumba imeishia usawa wa lenta, Ni ya vyumba 2 kimoja self, sebule kubwa na pia ina choo cha Public inauzwa kiasi cha Mil 9.5. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 20×20. Pia shimo la karo limeshachimbwa tayari.
Kuhusu barabara inapakana na barabara ya mtaa kwa mbele.
Umeme huitaji kuweka nguzo ni unavuta tuu .
Maji yapo na majirani wapo.
Karibu mteja!
Kuhusu barabara inapakana na barabara ya mtaa kwa mbele.
Umeme huitaji kuweka nguzo ni unavuta tuu .
Maji yapo na majirani wapo.
Karibu mteja!