Nyumba imeishia usawa wa lenta, Ni ya vyumba 2 kimoja self, sebule kubwa na pia ina choo cha Public inauzwa kiasi cha Mil 9.5. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 20×20. Pia shimo la karo limeshachimbwa tayari.
Kuhusu barabara inapakana na barabara ya mtaa kwa mbele.