House4Sale Nyumba inauzwa Mwandege, Bakhressa

House4Sale Nyumba inauzwa Mwandege, Bakhressa

Goldenmjema

Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
14
Reaction score
8
Nyumba ya Vyumba vitatu, jiko, sitting room, chumba kimoja master. Eneo kubwaa linatosha kuzungusha fensi, dakika 5 main road ya kilwa road.

Mwandege iko mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga, unaanza Mwandege ndo unaenda vikindu, then Kisemvule hadi Mkuranga karibu.

0767600250/0674913177

20230705_081832439.jpg
 
Hakuna nyumba ya bei iyo uko kiongozi. Mkoani 1.5 BILLION
 
We jamaa wewe hiyo nyumba ya uwizi nini? Jumba lote hilo bei laki 3, Nehi
 
Yani mi nitoe bilioni 50 kwa nyumba hyo..!? Una utani wew
 
Back
Top Bottom