House4Sale Nyumba inauzwa Mwandege, Magengeni

House4Sale Nyumba inauzwa Mwandege, Magengeni

Goldenmjema

Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
14
Reaction score
8
Mwandege wilaya ya Mkuranga.
Mkoa wa Pwani, Mwandege.

Nyumba ina vyumba vitano na sitting room.
Ina choo cha kudumu/shimo.
Nyumba ipo kwenye lenta bado kupaua tu.
Ipo kwenye Barabara ya mtaa/nguzo ipo.

BEI: MILIONI 8/INAFAA KWA KUPANGISHA
0767600250/0674913177
Nyumba za kupanga 150k-200k/za kununua MIL 5-100 karibu Mwandege Magengeni.

20230709_074009739.jpg
 
Back
Top Bottom