nyumba inauzwa kongowe ina vyumba vitatu vya kulala na sting room danning room master room stoo jiko na ina eneo la ekari moja na limepimwa na lina hati miliki ni nyumba ya ukweli ina umeme na maji kwa mawasiliano piga simu namba 0754286329 Na 0714973871
Iko Wapi?
Inauzwa Tshs Ngapi?
kwanini inauzwa?
inauzwa tsh 90 Million na ipo kongowe kibaha
mhusika anahama mazingira ya pwani anakwenda mbeya ambapo amehamia huko
Iko Wapi?
Inauzwa Tshs Ngapi?
inauzwa tsh 90 Million na ipo kongowe kibaha
Unauza milioni mia ngapi?
sio nyumba kama unavyofikiri wewe ni nyumba ya kisasa na yenye umeme na maji garden nzuri na pia ina hati milikiMilioni 90 kongowe kibaha?? Haki ya nani!! Nina uelewa sana wa maeneo yale na bei za mashamba/viwanja/nyumba nafahamu sana!! Labda hii itakuwa ya aina yake!! weka picha na sifa nyingine za nyumba kama maji, umeme, fenced, n.k.
sio nyumba kama unavyofikiri wewe ni nyumba ya kisasa na yenye umeme na maji garden nzuri na pia ina hati miliki
Haya tumekuelewa mkuu, tunaomba uweke picha ili tuone kabla mtu hujachoma gari kuelekea huko. Biashara nzuri kwa matangazo yaliyojitosheleza. Mimi nitakuwa mmoja wa watakaoitembelea nyumba. Pia nataka kufahamu kama ipo upande upi ukitokea DSM (kushoto au kulia). Asante Mkuu.
Poa mkuu, nafikiri na fence ipo au? tuma picha fasta. Ila hujasema kama bei ni negotiable au pengine sijasoma thred nikamaliza.ipo upande wa kulia kama unatoka dar es salaam kwenda mlandizi ina garden ya nguvu na kuhusu picha nazituma
Ok, nitakuja na TAMWA na afisa ardhi wa wilaya. Maana hamkawii kuwadhulumu wajane nyinyi.
Poa mkuu, nafikiri na fence ipo au? tuma picha fasta. Ila hujasema kama bei ni negotiable au pengine sijasoma thred nikamaliza.