Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

Lwamadovela

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
324
Reaction score
235
Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba vyote.karibuni.mawasiliano 0758248358.nb hakuna dalali
 
Picha ipo wapi??ina documents gani??huo Mtaa upo umbali gani kutoka Njombe Centre??unaandika Tangazo utafikiri watu wote JF tupo Njombe na tunaujua huo Mtaa!!
Andika Tangazo vizuri lieleweke acha uzwazwa
 
Huyu mdau hayuko serious sijui anadhan mli 75 ni uji wa ulezi
 
Back
Top Bottom