House4Sale Nyumba inauzwa Picha ya ndege kitongoji cha Kimegele

House4Sale Nyumba inauzwa Picha ya ndege kitongoji cha Kimegele

Atheds

Member
Joined
May 22, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele.

Eneo hili linafikika kwa gari, pikpiki, nauli ni Tsh 1000/= kutoka Vikindu kwa Usafiri wa pikipiki ya magurudumu matatu(Maarufu kama Bajaj). Pia umeme upo katika eneo hili.

Bei: 9,500,000/=

IMG_20211128_120535_HDR.jpg

IMG_20211128_120425_HDR.jpg
 
Umetumia kipimo cha futi ili tusielewe, hapo ungetumia mita sio futi.
 
Umetumia kipimo cha futi ili tusielewe, hapo ungetumia mita sio futi.
Hizo futi ukigeuza kwa mita inakuja kama 15*12 metres!

Kwa kiwanja huwa ni kidogo kwa kweli atleast vikiwa viwili upate 30*12 kinakupa eneo zuri zaidi!
 
Back
Top Bottom