House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Kajiungeni

House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Kajiungeni

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,827
Reaction score
2,021
Habari za mwaka mpya wakuu

Nyumba inauzwa pugu kajiungeni
km 1 kutoka barabarani.
Ina nyumba vi3 vikubwa.
bei ni milion 45 maongezi yapo
Ni square mita 1500 yaan mita 30 kwa 50
No 0753567696

NB
Nyumba ni ya ndugu yangu


IMG-20201218-WA0005.jpg
IMG-20201218-WA0006.jpg
IMG-20201218-WA0001.jpg
IMG-20201218-WA0004.jpg
IMG-20201218-WA0003.jpg
IMG-20201218-WA0007.jpg
 
Shida watu wanapojengaga hawaangalii ya mbeleni unakuta ramani ipo ipo tu.
Matokeo yake ukitaka kuuza inakuwa shughuli.
 
Shida watu wanapojengaga hawaangalii ya mbeleni unakuta ramani ipo ipo tu.
Matokeo yake ukitaka kuuza inakuwa shughuli.
Ni kweli kabisa sema yeye kitakachombeba ni ukubwa wa kiwanja
 
Nyumba kama hizi ukinunua usiku hulali maana ni mwendo wa kukabwa na kupigwa makofi usiku kucha. Kuna mmoja hapo anauza nyumba na eneo kubwa njia ya kwenda madale mkono wa kulia ukiwa unatokea tegeta naskia muuzaji anauza eneo maana usiku halali
 
Nadhani ungerekebisha maelezo na kuqndika hivi:
NAUZA PAGALA LILILOKO PUGU KAJIUNGENI

au
NAUZA KIWANJA

Nyumba unazijua kweli wewe?
Eti nauza nyumba,,,, hii nayo ni nyumba
 
Back
Top Bottom