House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

sele255

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
205
Reaction score
262
Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m.

Mawasiliano 0744992266 au 0789581889

0f28e3a9-5331-41a6-a4e4-36f02c1a2119.jpg
0f28e3a9-5331-41a6-a4e4-36f02c1a2119.jpg
9e8fdb51-6d22-4883-8608-7f008ba70609.jpg
926a5802-6903-4918-af4f-cb7aed97461b.jpg
3586dcd1-3d6b-41a3-84c6-2d60df71deaa (1).jpg
5914486f-8d11-4dfe-85d6-32c942fc9306.jpg
 
Hebu tupe taarifa ya eneo la kiwanja au shamba hiyo nyumba ilipo.
Ahsante
Ipo karibu na stand ya stesheni ya TAZARA ya pugu (kuelekea chanika kutoka gongolamboto) ni mwendo wa dakika 5 kutoka stesheni. Kama unakuja unapanda magari ya Kigogo fresh au ya Chanika
 
Ipo karibu na stand ya stesheni ya TAZARA ya pugu (kuelekea chanika kutoka gongolamboto) ni mwendo wa dakika 5 kutoka stesheni. Kama unakuja unapanda magari ya Kigogo fresh au ya Chanika

Nilitamani utuambie ukubwa wa eneo kiwanja kilipo mfano Heka1 au square metre ngapi?

Ahsante
 
Back
Top Bottom