Ipo karibu na stand ya stesheni ya TAZARA ya pugu (kuelekea chanika kutoka gongolamboto) ni mwendo wa dakika 5 kutoka stesheni. Kama unakuja unapanda magari ya Kigogo fresh au ya ChanikaHebu tupe taarifa ya eneo la kiwanja au shamba hiyo nyumba ilipo.
Ahsante
Ipo karibu na stand ya stesheni ya TAZARA ya pugu (kuelekea chanika kutoka gongolamboto) ni mwendo wa dakika 5 kutoka stesheni. Kama unakuja unapanda magari ya Kigogo fresh au ya Chanika
Ukubwa wa eneo ni 215 sq m ,Nilitamani utuambie ukubwa wa eneo kiwanja kilipo mfano Heka1 au square metre ngapi?
Ahsante
19m ? I can do better!Nyumba nzuri kulinganana bei yake...