Nini hatima hatima ya huyo mpangaji?
Ni dakika 7 toka barabarani kwa gari au kwa mguu Sawia?
nice offer.....
Mbona unataka kuuza haraka namna hiyo mwenzetu?
Unanitia wasi wasi, isiwe nyumba si yako mmmm?
Maana nimeona mengi mie.
Mie nitanunua ila inabidi nifanye upelelezi miezi 3 kama hiyo nyumba ni yako.
Kwanza nione picha
Alafu niende hiyo sehem nikaone
Nifanye upelelezi wa hapo watu wanasemaje
Chanika?nyumba ya vyumba3?umeme upo?dk7 kutoka road?eneo 35x30?mil13?haipungui?
Ni Chanika ipi?ya Dar au Kigoma?
Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0769 449485
nyumba inauzwa haraka? inamaanisha unamwahi mwenzako ambaye naye anataka kuiuza haraka,sasa hapo kuna kazi