nicolas poul
Member
- Sep 2, 2018
- 9
- 3
Samahani mkuu ni katika kuwekana sawa:-TSH 130,000,000, milion
130 milionSamahani mkuu ni katika kuwekana sawa:-
Ni Tsh 130,000,000 au Tsh 130 milioni.
Ukijenga kwa hela hiyo mpka finishing uje unionyeshe hiyo nyumba
Ukijenga kwa hela hiyo mpka finishing uje unionyeshe hiyo nyumba
Kinyerezi kiwanj milioni 50 na kuelndea local ndo 25 kushka chinAcha ubishi inafika
Viwanja vingi siku hizi 15 hadi 25mil
Kujenga msingi tufanye 15
Kusimamisha na kumwaga tena 30
Jumla hadi hapo 60
Kupiga bati 20
Hadi hapo 80
Finishinga haiwezi maliza 50 zilizobakia
Sent using Jamii Forums mobile app