House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba
Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo

Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum. Haina madalali
Mawasiliano 0620383653
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia mita 80 kutoka soko la sabasaba
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo
Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.Haina madalali
Mawasiliano 0620383653
Mimi siyo mnunuaji ila weka picha waone
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia mita 80 kutoka soko la sabasaba
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo
Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.Haina madalali
Mawasiliano 0620383653
Swangx hatari.
 
Hili tangazo limekaa ki-Sumbawanga Sumbawanga tu, kama sio Kifipa fipa! Na usikute tayari mtu keshasafiri kutoka Dar au Mwanza na ameshalipia halafu yupo njiani kurudi huku akiwa ameshasahau kwamba kanunua Mjengo Sumbawanga. Mi sitaki kabisa kufanya masihara kwenye baadhi ya matangazo.
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia,mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo
Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.Haina madalali
Mawasiliano 0620383653
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia,mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo
Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.Haina madalali
Mawasiliano 0620383653
Picha
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga mjini kata ya izia,mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba
Urefu wa kiwanja 22M
Upana 19M
Plot no 97 izia

Inavyumba vyumba vitatu kimoja ni Master, Sebule, Dining room, Jiko, Store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo

Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.Haina madalali

Mawasiliano 0620383653View attachment 1748074View attachment 1748076View attachment 1748075View attachment 1748078View attachment 1748077

IMG_20210402_183126.jpg
 
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia, mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba.

Urefu wa kiwanja 22M
Upana 19M
Plot no 97 izia
Inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, dining room, jiko, store kwa nje ina chumba na sebule, vyoo vya nje, na vyumba vinne vya frame, maji na umeme vipo.

Bei ni Tzsh 25,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum. Haina madalali.

Mawasiliano 0620383653
IMG_20210402_183131.jpg
 
yaani nitoe 25m ninune nyumba kama hiyo izia uswahili?
Labda nimerogwa
 
Kweli wana JF wa siku hizi ni janga la taifa, yaani mwenzenu ameweka tangazo lake serious kabisa ila nyie mnaleta jokes!
 
Back
Top Bottom