House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

Changamkieni fursa hiyo wadau , usafiri upo free kwenda na kurudi , πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia,mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba
Urefu wa kiwanja 22M
Upana 19M
Plot no 97 izia
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo,
Bei ni Tzsh 25,000,000/=maelewano yapo kidogo
Mawasiliano 0620383653


 
Kuna usalama kwenye hiyo nyumba? Nikisema usalama namaanisha usalama wa "kiroho".
Isijekuwa giza likiingia na wengine wanaamka.
 
Toka nipate ufahamu najua Sumbawanga ni wachawi tu!!! Sasa hiyo nyumba kuna usalama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…