Nyumba inauzwa Tabata Bima

Nyumba inauzwa Tabata Bima

radhiya

Senior Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
118
Reaction score
213
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.

Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.

Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
 
Nyumba zuri sana,ila rangi iliyopakwa sio nzuri,angepaka rangi nyeusi kwenye madrisha
 
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.

Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.

Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
Mmmmmh. .........
 
Weka picha,

Sehemu kama hiyo usiseme nyumba inauzwa we sema eneo linauzwa lina kibanda cha mlinzi.

Hayo maeneo ya hivyo wananunua madoni tu, hawanunui nyumba wananunua eneo, siwezi kutoa milioni 125 kwa ajili ya kununua kibanda chenye vyumba viwili.
 
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.

Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.

Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
Picha?
 
Acha upigaji,hapo kuna gharama gani unaingia kumuonyesha mtu eneo?
 
Back
Top Bottom