Nyumba zuri sana,ila rangi iliyopakwa sio nzuri,angepaka rangi nyeusi kwenye madrishaNyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
Mmmmmh. .........Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
Picha?Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
Tangazo batili sababu halina picha
Naona ukuta una fangasiTangazo batili sababu halina picha
Habari kaka, nyumba bado ipo. Tuwasiliane 0784 829565Kwenye page yenu ya instagram kuna nyumba niliona inauzwa tabata misewe B liwiti. Vipi ilishatoka? maana niluliza lakini sijajibiwa