Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park, eneo limepimwa na lina hati ya makazi, eneo liko barabarani kabisa, kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne, kunaeneo tupu linaloweza kukaa nyumba zingine 2 kubwa, kuna fremu za biashara 7 na zote zina wapangaji eneo halina mgogoro.
Bei ni shilingi milioni 350 maongez yapo.
Mimi ndie mmiliki 0765505756
Bei ni shilingi milioni 350 maongez yapo.
Mimi ndie mmiliki 0765505756