Poa Mkuu wanguWaungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park,eneo limepimwa na lina hati ya makazi,eneo liko barabarani kabisa,kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne,kunaeneo tupu linaloweza kukaa nyumba zingine2 kubwa,kuna fremu za biashara 7 na zote zina wapangaji eneo halina mgogoro. Bei ni shilingi milioni 350 maongez yapo.
Mimi ndie mmiliki 0765505756
Eneo lipo barabarani? Kuna taarifa za upanuzi nini?Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park,eneo limepimwa na lina hati ya makazi,eneo liko barabarani kabisa,kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne,kunaeneo tupu linaloweza kukaa nyumba zingine2 kubwa,kuna fremu za biashara 7 na zote zina wapangaji eneo halina mgogoro.Bei ni shilingi milioni 350 maongez yapo.
Mimi ndie mmiliki 0765505756
hakuna kitu kama hicho ninashida zangu,waswahili husema kimfaacho mtu chake[emoji23]Eneo lipo barabarani? Kuna taarifa za upanuzi nini?