Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

radhiya

Senior Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
118
Reaction score
213
Nyumba Inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.

Sifa za nyumba:
• Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
• Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo.
• Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
• Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr.
• Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti inayotosha kufulia, kuanika nguo na kupumzika.
• Usafiri wa gari na bajaji haufiki mpaka kwenye nyumba.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 312.
Nyaraka: Hati ya serikali ya mtaa.

Bei:Milioni 55. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • 1726468706388.png
    1726468706388.png
    1.1 MB · Views: 5
Mthihan huu; naona kitu umesifia kwenye Nyumba ni ukubwa wa Veranda, ila Kiwanja ni square m 312, saaa hiyo veranda sijui iko barabarani?
Nimecheka 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom