dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 932
Habari wana jf,nadhani hi awamu ya tatu hii ni baada ya kukosa mteja wa uhakika na changamoto za hapa na pale.....ila cha kushukuru ni kwamba nyumba mpaka sasa haijapigwa Mnada
SIFA ZA NYUMBA
ukubwa wa kiwanja ni 19 kwa 20
nyumba ina vyumba vitatu,kimoja ni master na ina public toilet,seating room ,jiko kubwa la kupikia,tiles na imezungushiwa ukuta mfupi mfupi
Changamoto iliyopo ni barabara ambayo huingia kwenye hiyo nyumba(ipo kwenye matengenezo soon itakuwa safi)
Mpaka sasa hati ipo bank so kama malipo lazima yafanyike bank ndo hati itolewe bank na ukabidhiwe baada ya taratibu zingine kukamilika
Mawasiliano 0719231499/0754055288
Karibuni tufanye biashara Muda si rafiki tena..Asanteni karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
.....Naomba ambae anataka kuona picha zaidi ni inboox whatsup-0719231499....nilisahau kuweka picha japo ukifuatilia kwa chini huu uzi nimesha zituma ..