Ipo Tabata Segerea. Ina vyumba vinne vya kulala, sebure kubwa, jiko. uwanja wake mita za mraba 1200.Ni nyumba ya kisasa. Ina maji na umeme. miundo mbinu yake safi. bei shilingi 100 MILIONI.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0717114409 au 0755312233
Mkuu Dunia imepiga hatua kubwa sana katika maendeleo ya habari na mawasiliano. Ninashauri uwe unaweka na link ya map kwa ajili ya ku-google eneo liliyopo hiyo nyumba. Hii itasaidia kutoa taarifa kamilifu hasa kwa wale ambao wapo nje ya Dar es Salaam.
Nitampa google links mtu ambaye nimeonanaye ana kwa ana kwa sababu za kibiashara. Nilishawi kufanya hivyo jamaa akatumia GPS Coordinates kufika hapo unless otherwise niwe nimesaini na owner mkataba wa kupewa kamisheni hata akiuza yeye, hupo hapo?