dalali jugo
Senior Member
- Dec 18, 2020
- 112
- 182
Inauzwa nyumba mkuu sio vitu vya ndanihiyo mil70 napata na vitu vya ndani?
We unadhani nyumba kama hiyo waeeza kuinunua kwa shngapi bila vitu vya ndanihiyo mil70 napata na vitu vya ndani?
Nipe ratio ya cement ya Tofali zake mkuu ikojeWe unadhani nyumba kama hiyo waeeza kuinunua kwa shngapi bila vitu vya ndani
Mkuu hii nyumba ilikuwa ya boss muhindi kamuachia mfanyakazi wake, tofali ni 20-23 kwa mfuko, kuna sehemu matofali yanaonekana ukija utayakaguaNipe ratio ya cement ya Tofali zake mkuu ikoje
Kama hapa tofali zinaonekana utazikaguaNipe ratio ya cement ya Tofali zake mkuu ikoje
Ina hati?Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Dinning
Store na jiko
Ipo tabata liwiti
Bei mil 70 mazungumzo yapoView attachment 1653344View attachment 1653346View attachment 1653348View attachment 1653350View attachment 1653351View attachment 1653352View attachment 1653354View attachment 1653357View attachment 1653358View attachment 1653359View attachment 1653360View attachment 1653362
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Majirani wote wana hati, hii haina hati ila fomu zipo bado kulipia hati itoke kumeshapimwa bekon zipo utaziona ukijaIna hati?
mwenye nyumba alikiwa mjumbe nini?
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwenyenyumba ni mshabiki wa yanga?
Rangi sio ishu mkuuRangi hizi nani aoikushauri Mkuu?? Ha ha ha
Hizi akili za kimasikini sanaHivi milioni 70 kwa elfu kumikumi ukiipima kwenye mizani inaweza toa kilo ngapi wanazengo
Usinifokee
Sawa hakuna shidaUsinifokee
Nimejisikia tu kuongea hivo ili uzi wako uendelee kuonekana
Kwanin yenyewe haina hati wakati majirani wana hati??ipo tabata gani?Majirani wote wana hati, hii haina hati ila fomu zipo bado kulipia hati itoke kumeshapimwa bekon zipo utaziona ukija
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app