B BK95 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 281 Reaction score 357 Jul 24, 2025 #1 Wakuu habari za majukumu ya kifamilia,kijamii na kitaifa! Natumai hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kuna nyumba huku tanga mjini mtaa wa magomeni A inauzwa,iko na 3 bedrooms,1 master room,sitting room kubwa na store. Pamoja na vumba vitatu vya nje. Bei, million 40.
Wakuu habari za majukumu ya kifamilia,kijamii na kitaifa! Natumai hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kuna nyumba huku tanga mjini mtaa wa magomeni A inauzwa,iko na 3 bedrooms,1 master room,sitting room kubwa na store. Pamoja na vumba vitatu vya nje. Bei, million 40.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jul 24, 2025 #2 Chukua 30
Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 3,126 Reaction score 6,104 Jul 24, 2025 #3 Weka maelezo yakutosha ikiwezekana na picha
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Jul 24, 2025 #4 Dah, nyumba nzuri sana kwa muonekano, bei reasonable kabisa! Nimependa hizo tiles na rangi, pia vyumba ni vikubwa kabisa
Dah, nyumba nzuri sana kwa muonekano, bei reasonable kabisa! Nimependa hizo tiles na rangi, pia vyumba ni vikubwa kabisa
B BK95 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 281 Reaction score 357 Jul 24, 2025 Thread starter #5 Carasco Putin said: Chukua 30 Click to expand... Kama uko serious tuwasiliane uje physically uione
B BK95 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 281 Reaction score 357 Jul 24, 2025 Thread starter #6 Tajiri mpole said: Weka maelezo yakutosha ikiwezekana na picha Click to expand... Maelezo hayajitoshelezi? Mybe useme picha
Tajiri mpole said: Weka maelezo yakutosha ikiwezekana na picha Click to expand... Maelezo hayajitoshelezi? Mybe useme picha
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 Jul 24, 2025 #7 BK95 said: Maelezo hayajitoshelezi? Mybe useme picha Click to expand... Eneo? Mita 5 x 5 au?