Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,861
Bei?
Kuna mzee anastaafu anataka kuja kupumzika pangani au lushoto
Bei maelewano????????[emoji57]Nyumba yenye vyumba 7 kimoja master, sitting room, mabanda ya uwani na from mbili za duka. Ipo barabara kuu ya Pangani - Tanga.
Bei maelewano no. 0717 720 289View attachment 1272799View attachment 1272800View attachment 1272801View attachment 1272802
Mjini ndio mkuuPangani mjini?
Kweli kabisa hali mbaya sana kipindi hiki biashara zimekufa kwa hiyo mtu anaona bora asukume mjengo wakeNyumba kama hizi ilikuwa ni ndoto kuuzwa
Ila miaka hii tutaona mengi