Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amekupa hiyo bei kiongozi wangu?
Nani amekupa hiyo bei kiongozi wangu?
Nani amekupa hiyo bei kiongozi wangu?
Unaweza kufanya biashara gn kma kupangisha, hotel, gest au? Toa maelekezo ya eneo husika kwa apo tarime mjini kma unavyosema?
Samahani mkuu, mimi sina hela ya kununulia hiyo nyumba. Nilitaka kujua kama wewe ni yupi kata ya huyo aliyepiga picha karibu na nyumba na huyo wa kwenye avatar yako!!Kwa ajili ya kupangisha familia moja kwani ni nyumba inayojitegemea. Hipo maeneo ya Nkende karibu na shule ya msingi kiongozi.
ila sio masikhara umeumbika ndugu View attachment 1876096
Mkuu ngoja wanunuzi kutokea tarime waje, maana sisi wa geita hutuhitajiWapendwa wana Tarime, njooni mchukue mjengo huo, ni mjengo wa kiafisa. Bei ni maelewano, piga simu tuzungumze.
Omera in kanyeBei yake ni 50,000,000 maongezi yapo, kumbumbuka mimi ni mwenye nyumba, sio dalali.
Huyo kwenye avatar ndiyo pamoja na hiyo bei??Wapendwa wana Tarime, njooni mchukue mjengo huo, ni mjengo wa kiafisa. Bei ni maelewano, piga simu tuzungumze.
chukua 15. milionWapendwa wana Tarime, njooni mchukue mjengo huo, ni mjengo wa kiafisa. Bei ni maelewano, piga simu tuzungumze.