Nyumba inauzwa tegeta madale-mivumoni

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
569
Nyumba inauzwa ipo tegeta madale-mivumoni,imepauliwa na madirisha pamoja na mageti kwenye milangon,ni selfcontena ila haina masterbedroom mwenyewe anuza anataka akatibiwe india, bei mil 35,mawasiliano 0719294611,picha zinagoma kuatach wakuu
 
picha iligoma kuwekwa au bado unapiga tangu ulipoweka tangazo?
 
Nyumba inauzwa ipo tegeta madale-mivumoni,imepauliwa na madirisha pamoja na mageti kwenye milangon,ni selfcontena ila haina masterbedroom mwenyewe anuza anataka akatibiwe india, bei mil 35,mawasiliano 0719294611,picha zinagoma kuatach wakuu


Ukubwa wa eneo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…