Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA...
TSh25,000,000
Dar es Salaam
Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA...
Zipo nyumba mbili katika eneo moja...
Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule,
Ndogo ni vyumba viwili.
Eneo ni takriban 20 kwa 20.
Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo bondeni na ni eneo tambarare...
Ni eneo lililochangamka kwa ajili ya biashara...ni mji uliokuwa muda mrefu sana...
ENEO NA NYUMBA LINA VITHIBITISHO VYOTE VYA UMILIKI...NA MIMI NDIO MMILIKI MWENYEWE...
Bei ni SH. 25,000,000 TU....(Hii bei huwezi pata kwa mtu yeyote eneo hilo...hii ni FURSA ADHWIM...ULIZA HATA MADALALI)
WASILIANA NA MIMI MWENYEWE PM AU KWA SIMU...
Maongezi yapo: 0682778287
IMG-20201206-WA0014.jpg
IMG-20201206-WA0012.jpg
IMG-20201206-WA0009.jpg
 

Attachments

  • IMG-20201206-WA0013.jpg
    IMG-20201206-WA0013.jpg
    127.3 KB · Views: 5
  • IMG-20201206-WA0004.jpg
    IMG-20201206-WA0004.jpg
    99.4 KB · Views: 5
  • IMG-20201206-WA0011.jpg
    IMG-20201206-WA0011.jpg
    105.7 KB · Views: 5
  • IMG-20201206-WA0015.jpg
    IMG-20201206-WA0015.jpg
    94 KB · Views: 5
Mbona nyumba siioni brow au macho yangu mabovu
Yan jamaa kashindwa kusubiri watoe hizo nguo ndio apige picha jitahd kupiga picha vizuri ili mtu aweze kufanya maamuzi ya awali kwa kutumia picha sio mpaka mtu afunge safari wengine tupo mbali
 
mkuu ungesema unauza tu eneo sio nyumba
 
Hiiiiiiii[emoji848][emoji848]
 
nilijua asilimia kubwa wangeuliza 'Nyumba iko wap?...kwa mazingira hayo inabidi mnunuzi ajipange maana panaonekana uswazi haswaa
 
Unauza nyumba au genge

Jf for fun[emoji848][emoji848]
 
Sorry Mkuu,20 kwa 20 inawezaje kukaa nyumba mbili? Hapo hakuna nyumba bali ni gofu ,na mtu hawezi kununua 20 kwa 20 kwa Tsh 25m!! Tena Uswahili matola ,ni bora aende manispaaa akanunue Sqm 2000 kwa Tsh 24m.
 
Back
Top Bottom