Customer care kwako ni sifuri kabisa.Soma katikati ya msitari ndugu..
Sasa kama sio linalouzwa umeliweka la nini?Hilo Ni jengo linakaribiana na linalouzwa..
Linafanya Nini Sasa kwenye uzi wako?Hilo Ni jengo linakaribiana na linalouzwa..
Hivi hizo ni nyumba? Basi mimi nitakuwa na macho mabovu, mimi nimeona jengo ambalo ujenzi wake haujakamilika.Kwaiyo izo nyumba zote ndio 70M Mungu atupe nini sisi jamani ningekuwa nayo fasta tu nichukue mijengo yangu chap
Asante.Karibu