House4Sale Nyumba inauzwa Tsh bilioni 1.3, ipo Bunju B

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B
📍 Bunju B
📐 Plot Size: 1,568 SQM
💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable)

This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment.

🔹Brand New
🔹Good View & Fresh Air🍀
🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms)
🔹 Large Sitting Room
🔹 Modern Kitchen
🔹 Study Room
🔹 Store Room
🔹 Common Restroom
🔹All House Lights available
🔹All Swimming pool equipements available

🏠 Servant Quarter Features:
✔ 1 Bedroom
✔ Inside Bathroom
✔ Large Garage

🕸 Extras:
▶ Full house lighting installed
▶Swimming pool equipment available
▶Spacious compound & premium environment

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

#houseforsale #houseforrent #daressalaam🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral
 

Attachments

  • Polish_20260601_072930927.jpg
    371 KB · Views: 28
  • visionway_africa-20260601-0004.jpg
    336 KB · Views: 22
  • visionway_africa-20260601-0002.jpg
    388.4 KB · Views: 28
  • visionway_africa-20260601-0003.jpg
    368.2 KB · Views: 26
  • visionway_africa-20260601-0007.jpg
    251 KB · Views: 20
  • visionway_africa-20260601-0001.jpg
    220.1 KB · Views: 22
  • visionway_africa-20260601-0005.jpg
    287.7 KB · Views: 27
  • visionway_africa-20260601-0006.jpg
    283.8 KB · Views: 25
  • visionway_africa-20260601-0010.jpg
    190.5 KB · Views: 27
  • visionway_africa-20260601-0009.jpg
    205.3 KB · Views: 27
  • visionway_africa-20260601-0008.jpg
    211.5 KB · Views: 25
  • visionway_africa-20260601-0012.jpg
    146.3 KB · Views: 24
  • visionway_africa-20260601-0015.jpg
    163.6 KB · Views: 25
Labella nikununulie hii?
 
Hakuna nyumba ya bilioni 1 hapo
 
Hakuna nyumba ya bilioni 1 hapo
Nyumba za Dar es Salaam na viwanja utapeli mkubwa sana, na hii inatoka kutokuwa na uangalizi wa hizi mambo, kila mtu anajiamulia lake, na wengine wanapatia gape humo humo kusafishia hela zao 😅
 
Nyumba za Dar es Salaam na viwanja utapeli mkubwa sana, na hii inatoka kutokuwa na uangalizi wa hizi mambo, kila mtu anajiamulia lake, na wengine wanapatia gape humo humo kusafishia hela zao 😅
FIU wangekuwa wanafuatilia wangewanasa watakatishaji wengi sana kwenye hii biashara ya nyumba na viwanja Dar.
 
FIU wangekuwa wanafuatilia wangewanasa watakatishaji wengi sana kwenye hii biashara ya nyumba na viwanja Dar.
FIU wanazijua sana hizi issue sema wanafumba macho na masikio. Ingawa wana issue zao wanazipiga kimya kimya kama mwewe, kingine amacho kina waungasha jamaa wa FIU wapo nyuma ye Technology hapo ndio napo wanazidiwa ujanja na hawa wasafishaji. Na kingine siasa ndio inaangudha kitengo cha FIU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…