NYUMBA INAUZWA WEST CHINANGALI DODOMA MJINI BEI NAFUU 0767833496

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
897
1.Nyumba iko eneo zuri sana la west chinangali dodoma mjini.
2.Eneo limepimwa,nyumba ina hati
3.Ina vyumba vitano,jiko,sebule,choo na bafu vya ndani
4.ina fensi na eneo kubwa sana la wazi na iko block A plot namba 31
5.Barabara ni kubwa na gari inafika mpaka nyumbani bila shida.
6.maji na umeme vipo
7.nyumba ina ukubwa wa square metres 571
8.bei yake ni milioni 56 pungufu tunaongea.
8.nyumba pia iko karibu na shule ya msingi sokoine ambayo itaonekana kwenye picha hapa chini
9.Kwa mawasiliano zaidi 0767833496
 
Karibuni wenye kuhitaji. Jamaa amejitahidi kuliweka vizuri tangazo kwa kuweka kila taarifa yenye kumsaidia mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…