Nyumba IPO kigamboni kibada block 15 (708 sqm) 3-rooms (2 master & 1 single),dinning room,jiko,store,fence,parking,kisima,umeme.pia uwanja umebaki unaweza jenga nyumba nyingine.Kama ilivyo inauzwa 130 mil,Kama ikikamilika itauzwa 160 mil.Kama uposerious nichek 0716385824
Acha kumdanganyaIko poa sana na bei yake very reasonable!
Hawa jamaa ndio hufanyiwa utafiti na nhc tunakuta nyumba zao wanaziuza kwa 63m, wakati ilipaswa kuuzwa 34mAcha kumdanganya
Labda kwa kikwete....Iko poa sana na bei yake very reasonable!