House4Sale Nyumba inauzwa

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Nauza nyumba yangu ipo mbagala zakhem ina vyumba viwili, jiko, choo na ipo na fensi ya matofali. Inaumeme pia ina nafasi ya kuongeza vyumba viwili na ipo katika hali nzuri. Gari inafika mpaka mlangoni. Lakini haiingii ndani.

Bei mil: 25,000,000=
Dalali marufuku. Kama ni mnunuzi ndi anatakiwa



.
 

Attachments

  • 20161111_175120.jpg
    121.2 KB · Views: 41
  • 20161111_175140.jpg
    234.6 KB · Views: 41
  • 20161111_175202.jpg
    175.8 KB · Views: 45
  • 20161111_175345.jpg
    147.1 KB · Views: 44
  • 20161111_175404.jpg
    84.6 KB · Views: 47
  • 20161111_175432.jpg
    110.6 KB · Views: 46
  • 20161111_175510.jpg
    133.8 KB · Views: 48
  • 20161111_175527.jpg
    113.4 KB · Views: 44
  • 20161111_175621.jpg
    224 KB · Views: 42
  • 20161111_175704.jpg
    117.9 KB · Views: 47
  • 20161111_175718.jpg
    117.1 KB · Views: 49
  • 20161111_175739.jpg
    183.2 KB · Views: 40
Waziri wa ardhi ameonya tusininue nyumba au viwanja vyenye hati ya makazi. We una hati?
 
Mbagala Zakhem kubwa,hebu fanya kuelekeza ni umbali kiasi gani kutoka hapo road na ni upande gani..........??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…