House4Sale Nyumba inauzwa

daud43

Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
14
Reaction score
0
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo chanika buyuni ina vyumba vitatu vitatu viwili self contained na kingine cha kawaida pia nje ina servant quarter nayo ni self contained kiwanja kina hati ,fance gate ukubwa wa kiwanja ni sqm 660 bei 85milion mazungumzo yapo 0674673925


 
Kutangaza kuuza nyumba au Gari bila picha nisawa na kujitekenya mwenyewe.... Jifunze misingi ya kunadi biashara yako
 
bei 85 milion mazungumzo hakuna dalali.
Hapo mimi kwa ufahamu wangu sijaelewa bado unamaanisha nini kati ya haya;
1.Wewe si dalali bali ni mmiliki
2.Wewe ni dalali pekee na huhitaji mwingine kukuletea wateja
3.Mazungumzo hakuna
4.Mazungumzo yapo.
 
Weka picha basi.
 
mazungumzo yapo nicheki kwa namba 0674673925 kama upo serious
 
bei 85 milion mazungumzo hakuna dalali.
Hapo mimi kwa ufahamu wangu sijaelewa bado unamaanisha nini kati ya haya;
1.Wewe si dalali bali ni mmiliki
2.Wewe ni dalali pekee na huhitaji mwingine kukuletea wateja
3.Mazungumzo hakuna
4.Mazungumzo yapo.
 
Nzuri lakini bila hata picha....?
 
njoo WhatsApp nikutumie uwiyone kama upo serious
 
jamani kuweni waelewa kidogo sijapost hili kuchat au jokes watu I'm serious nimeshindwa kuweka picha kwa sababu mtandao unasumbua nashindwa ku upload picha so kwa anayeitaji kuiyona anicheki kwa namba hiyo then nikakutumia ukaiyona na mambo mengine yakaendelea
 
umeshindwa kuweka humu mtandao unasumbua huko inbox unatuma picha kwa upepo ama ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…