Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Nyumba inauzwa ipo temeke yombo,ina vyumba vitatu vya kulala ,siiting room,dinning choo cha ndani ,choo cha nje,fensi,sintank ya maji bomba la maji bei milioni 45 maelewano yapo,mawailiano 0788010077 or 0713984545
 
Temeke Yombo??? Jirani na White Rose? Kuna vibaka huko usisikie......
Ukiinunua hiyo nyumba uikatie kabisa na burgary insurance
 
yombo ni kubwa mkuu sehemu unayosema sio yenyewe not karibu na white Rose
 
Back
Top Bottom