Milioni 80 hakupi mtuNyumba na eneo lake hipo Moshi bonite, eneo lina 20 kwa 20, piga 0683007848View attachment 1640231View attachment 1640232View attachment 1640233
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kiwanja kina rubi, tanzanite, almas, dhahabu na mbuga za wanyama na bahari. Pia mlima Kilimanjaro uko hapohapo kiwanjaniUnacheza na kufanya masihara na hela wewe! Labda useme wasifu wa kiwanja
Tangazo ungeliweka pia kwenye simuKwa maelezo mengine piga simi
Weka picha ya simi tuoneKwa maelezo mengine piga simu
Mkuu ungesema unauza pagale ungepungukiwa nini?Bei ni million 15