Iko Njia panda ya Kunduchi mtaa wa Kilkongawima. Ina vyumba vinne vya kulala viwili ni self contain. Ina fensi chumba cha TV jiko kubwa na stoo. Sebule chumba cha kulia. Kwa mawasiliano. Piga 0715/0754 045596 au 0754 892174 email macha.elly@gmail.com