sometimesyes JF-Expert Member Joined Dec 5, 2017 Posts 360 Reaction score 288 Jun 6, 2022 #1 Habari zenu wadau, Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja self,sebule jiko na public toilet,ipo ndani ya eneo la mita za mraba 400,maeneo ya zingiziwa,Chanika. Bei ni milioni 15
Habari zenu wadau, Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja self,sebule jiko na public toilet,ipo ndani ya eneo la mita za mraba 400,maeneo ya zingiziwa,Chanika. Bei ni milioni 15