Plot4Sale Nyumba inauzwa

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,830
Nyumba inauzwa ipo Kigogo Lwanga karibu na shule, dakika moja kufikia ilipo. Zipo nyumba Tatu kwenye kiwanja kimoja.

Inafaa kwa ajili ya kujenga godown kwa wale wafanya biashara.


Haina mgogoro na karatasi zote zipo.

Bei Tsh 150,000,000 mazungumzo yapo.
+255714036595 kwa mawasiliano.
 
Dah, hapo labda kama kiwanja ni kikubwa Sana mseme tu mnauza kiwanja aisee, ukiwa dalali kumuonyesha tajiri sehemu kama hii yataka moyo aisee, mtuzanaweza kuchoma mafuta mkafika site akakutia vibao
 
[emoji1][emoji2][emoji2] kwa mitope na MAZINGIRA HAYO ukimpata hata wa 59M njoo umwagilie moyo hapa Mjn
 
150 millions...??...

πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Uliposema tu kigogo lwanga picha ya mazingira ikaja pichani...na hazijatofautina..

FUata maelekezo ya wahitaji upate mteja, uzuri ni ww mwenyewe unajua nyumba haifai kuishi ila kwa godown ndio panafaa..

Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…