House4Sale Nyumba inauzwa

Ionic banner

Member
Joined
Jul 19, 2023
Posts
5
Reaction score
9
Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam
Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained
▫Sitting room zipo mbili chini na juu
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1377
◇document clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya ardhi)
◇Umbali-kilomita 1 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo
Nyumba ipo ndani ya fence maji Dawasco umeme vyote vipo
◇mteja anaruhusiwa kukagua nyumba muda wowote anapata nafasi.
 

Attachments

  • IMG_20230803_085950_613.jpg
    525.3 KB · Views: 47
Kula 50m mkuu
 
Bznes ya millions 300. Picha ya bure. Ukiamua kufanya bznes kubwa jiweke kikubwa n ww.
Ushauri tu
 
Be serious,Hiyo picha ulikuwa unaibia kuipiga
 
Nimeishia kuona Bibi Jefta hapo kwenye picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…