Nyumba Inauzwa

Nyumba Inauzwa

nkawa

Senior Member
Joined
May 11, 2009
Posts
181
Reaction score
10
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Ina uwanja wa kukaa gari 4.
Ina maji ila umeme bado.
Iko Bunju B mita chache kutoka stendi kubwa ya mabasi/daladala.
Bei Mil. 25
 
Tuwasiliane ndugu yangu nilikuwa natafuta nyumba yenye ukubwa huo.

What is the way forward ?. Unipe namba yako, tuma SMS kwends kwenye namba yangu ambayo ni: 0782 67 66 64.

Thanks.
 
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Ina uwanja wa kukaa gari 4.
Ina maji ila umeme bado.
Iko Bunju B mita chache kutoka stendi kubwa ya mabasi/daladala.
Bei Mil. 25

Ukiweka picha yake nitashukuru sana. Kama inawezekana mkuu
 
Vp naweza nikakuletea mteja?
Lakini kama unavyo jua Bongo hapa tunaganga njaa nitapata fungu la kumi %?
 
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Ina uwanja wa kukaa gari 4.
Ina maji ila umeme bado.
Iko Bunju B mita chache kutoka stendi kubwa ya mabasi/daladala.
Bei Mil. 25

hebu weka picha basi tuione
 
ChamtuM..... ,samahani hiyo avatar yako naweza kujua huyo dada anacheza mziki gani?
 
Mkuu
Nitajuaje kama hiyo nyumba iko ktk usalama,yaani weka sababu kwanini mweye nayo anaiuza.Nisije nikanunua alafu naambiwa haikufuatwa mashariti wakati wa kujenga, kwahiyo inabidi ibomolewe.Maana unaweza nunua ukaambiwa bwana bomoa iko juu ya bomba la dawasco, au kiwanja hakikuwa chake hakuwa na hati nacho, au unaletewa mizengo.
Toa maelezo ya kutosha, pia bei gani weka tuone kama mifuko yetu iko fresh.🙄
 
Bei haishuki? weka picha including finishing inside and outside!
 
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Ina uwanja wa kukaa gari 4.
Ina maji ila umeme bado.
Iko Bunju B mita chache kutoka stendi kubwa ya mabasi/daladala.
Bei Mil. 25

Nitakupataje? nahitaji kuiona ikiwezekana week end hii.

reaLIST
 
Back
Top Bottom