Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ipo Kigamboni maeneo ya ungindoni. Bei ya kuanzia ni M 38. maelewano

Imekamilika ila haina fence but reserved for parking and other development.

Kwa walio sirias wasiliana na mmiliki 0717 221289

ukiwa na swali lolote nitumie PM nitakujibu sawia.

NB
Sijaweka picha ila nikizipata naweka hapa but unaweza kutembelea kuikagua ukiwasiliana na mmiliki
 
poa nitawaletea picha hapa.
ila serous buyer awasiliane na namba niliyotoa hapo juu. sijaweka cha juu eleweni.
 
Msanii,
Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki? Ungindoni ni umbali gani kutoka ferry?
 
Back
Top Bottom