Ipo kimara Temboni Dar es Salaam, Tanzania. Ina vyumba vitatu vya kulala, (kimojawapo kikiwa masta), ina study room, dinning room, sitting room kubwa, chumba cha kulala kikubwa. Ipo katika uwanja wenye ukubwa wa sqm 2145.Kiwanja kina Tittle Deed. Bei yake sh 200,000mil. karibu.
Nadhani una-reflect Temboni ya zamani, nowadays maeneo mengi ya huko yana maji. Waulize walio maeneo hayo.Huko temboni maji shida. Nyumba bei juu utafikiri kuna huduma bora zinapatikana vile.