Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10 kwa 10, masterbedroom ni futi 18 kwa 12. Ina bafu na choo, ipo kwenye eneo la mita 30 kwa 20, kuna miti na mihogo. Ipo Saranga karibu na Temboni, pia kuna njia ya kupitia kinyerezi mwisho. Ipo barabarani na gari linafika. Bei ni Tsh milioni 30. maelewano yapo. karibuni
mawasiliano 0716662211
kwanini usitumie iyo nyumba kuombea mkopo bank?
nimejaribu kwenda Crdb,pia Acb, tatizo biashara zangu ni za kusafiri ko inakuwa ngumu wao kuamini moja kwa moja. Nilifuatilia mpaka nikachukua hati ya kimila,nimelipia manispaa kinondoni kwa ajili ya kupata mkopo. Pia kutotunza taarifa za biashara kumenicost kutopata mkopowazo zuri zaidi
poa. NitajitahidiMkuu. nitakupm na kama tutaafikiana nikupe mshiko mara moja. Hata hivyo nakushauri uweke na picha ya views nyingine za hiyo nyumba.