Nyumba inauzwa

MaMkwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2007
Posts
284
Reaction score
21
Nyumba inauzwa. Ipo Mbezi Msakuzi, ina vyumba 5, vyoo 2, mabanda ya uwani vyumba 8, haina maji wala umeme. Imezungushiwa ukuta. I na geti, imepigwa plasta tayari, inauzwa pamoja na shamba la eka 8 lenye michungwa, minazi, migomba, miembe na miti mingine ya matunda vyote vinazaa. Eneo linafaa sana kwa shule, au mradi wowote mkubwa, barabara inafika hadi shambani. Eneo limepimwana lipo katika hatua za mwisho kupata ofa. Mwenye haja anaweza kutembelea. Bei milioni 200, mazungumzo yapo. Dalali hatakiwi

Wasiliana nami 0774202230 au 0715202230
 
Imetulia mkuu najaribu kuwasiliana na ndugu zangu tuone tunafanyaje
 
Mkuu,

Unaweza kutuwekea picha ya hiyo nyumba na eneo lenyewe linavyoonekana? Hivyo vyoo viwili viko wapi nje au ndani ya nyumba? Hivyo vyumba vitano ni vya ukubwa gani?

Natanguliza shukrani!!!

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…