nyumba inauzwa.

pen dada

Member
Joined
Jul 22, 2010
Posts
7
Reaction score
0
jamani nauza nyumba yangu ambayo haijaisha imefika kwenye linta ipo Goba Mbezi juu.
unaweza kupita tangi bovu au njia panda ya makonde na ukafika.

nataka hela ya harakaharaka ili niende nje kusoma.
anayehitaji anipigie 755423192.
 
More specifications plz!
 
Price pls na more details like ukubwa wa kiwanja na nyumba yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…