House4Sale Nyumba inazouzwa Kibaha kuanzia million 9

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
188
Reaction score
347
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa

Ina chumba seble

Ina vyumba viwili milango ya nje

Umeme na maji vipo

Eneo ni 20×20

Imegusa barabara ya mtaa

Bei million 9.8

0744757738
0784376888
 
Kumbe ni pagale, je hiko kiwanja kina ukubwa gani maana hapa si kununua nyumba bali kiwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…