House4Sale Nyumba ipo Kimara Mwisho inauzwa

bintishomvi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
1,164
Reaction score
833
Habari wanajukwaa nauza nyumba ipo kimara mwisho maeneo ya kwamashaka km 4 kutoka barabara ya morogoro road kwa boda bodo ni sh/ 1000 kwa bajajish/500.

Eneo lina upana wa 40 -33 na 40 20 - 33.
Eneo limepimwa Lina namba ya ardhi bado prosses za hati tu.
Nyumba ina master 1 ,vyumba vya kulala 2 Cha 3 ndio master , sebule kubwa sehemu ya kulia chakura ,jiko ,stop,vyoo 2 vya ndani n.k
njoo uione mmiliki ni Mimi mwenyewe.

Tiles nyumba nzima na bati ni msouth madilisha ya glili na vioo vya glass, gypisam nyumba nzima namaanisha roof .

Bei ml 80 maelewano yapo namba ni 0718202286 karibu nauza kwa shida zangu za kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…