House4Sale Nyumba ipo Mbagala- Chamanzi inauzwa Million Tisini (90 )

Joined
Oct 3, 2020
Posts
13
Reaction score
2
NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90)

NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000

Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store na choo cha publick ina tiles nyumba nzima ina fence nyumba nzima ina parking kubwa yakukaa gari ndogo nne ina full preving brocks nyumba nzima ina chumba sebule choo uwani ninyumba nzuri yakisasa kabisa maongezi yapo wahii mapema maisha ni nyumba.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000
 
Preving brocks ndio nini mzee, nyumba za Mbagala zimejengwa na building materials kutoka sayari ya Nibiru
 
Nilipoona hii bei na nyumba iko Chamazi pumbu nikarudisha ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…